SEPTEMBA 8-14
METHALI 30
Wimbo 136 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. “Usinipe Umaskini Wala Utajiri”
(Dak. 10)
Furaha ya kweli inatokana na kumtumaini Mungu, na si utajiri (Met 30:8, 9; w18.01 24-25 ¶10-12)
Mtu mwenye pupa hatosheki kamwe (Met 30:15, 16; w87 5/15 30 ¶8)
Kanuni za Biblia zinaweza kukusaidia kuepuka mkazo na madeni yasiyo ya lazima (Met 30:24, 25; w11 6/1 10 ¶4)
PENDEKEZO KWA AJILI YA IBADA YA FAMILIA: Mkiwa familia, chunguzeni mtazamo wenu kuhusu pesa.—w24.06 13 ¶18.
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Met 30:26—Tunajifunza nini kutokana na wibari? (w09 4/15 17 ¶11-13)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 30:1-14 (th somo la 2)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Tumia Mnara wa Mlinzi Na. 1 2025 kuanzisha mazungumzo. (lmd somo la 1 jambo kuu la 3)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YA UMMA. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)
6. Kufafanua Imani Yako
(Dak. 4) Hotuba. ijwbq makala ya 102—Kichwa: Je, Kucheza Kamari ni Dhambi? (th somo la 7)
Wimbo 80
7. Usidanganywe na Amani ya Uwongo!—Chibisa Selemani
(Dak. 5) Mazungumzo.
Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:
Umejifunza nini kutokana na simulizi la Ndugu Selemani kuhusu kufanya maamuzi yanayoongoza kwenye furaha ya kweli na amani?
8. Video ya Septemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo
(Dak. 10) Onyesha VIDEO.
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) lfb somo la 16-17
Umalizio (Dak. 3) | na Sala
Makala ya 27: Septemba 8-14, 2025
20 Wasaidie Wanafunzi wa Biblia Wachukue Msimamo Upande wa Kweli