Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Juma Hili
Oktoba 27–Novemba 2
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha—2025 | Septemba

OKTOBA 27–NOVEMBA 2

MHUBIRI 11-12

Wimbo 155 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Tunza Afya Yako, Na Ufurahie Maisha

(Dak. 10)

Inapowezekana, tenga wakati wa kufurahia mwanga wa jua na hewa safi (Mhu 11:​7, 8; g 3/15 13 ¶6-7)

Tunza afya yako ya kimwili na ya kihisia (Mhu 11:10; w23.02 21 ¶6-7)

Jambo muhimu zaidi, mwabudu Yehova kwa moyo wako wote (Mhu 12:13; w24.09 2 ¶2-3)

Wenzi wa ndoa wenye umri mkubwa wakifurahia kufanya kazi pamoja kwenye bustani.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Mhu 12:​9, 10—Mistari hii inatufundisha nini kuhusu wanaume ambao Mungu aliwatumia kuandika Biblia? (it “Kuongozwa na Roho” ¶10)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Mhu 12:​1-14 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kufuatia Upendezi

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Katika ziara iliyotangulia, mtu huyo alikuambia alifiwa na mpendwa wake hivi karibuni. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)

6. Hotuba

(Dak. 5) lmd nyongeza A jambo kuu la 13—Kichwa: Mungu Anataka Kutusaidia. (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 111

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 30-31

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 8 na Sala

Yaliyomo
Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2025 | Agosti

Makala ya 34: Oktoba 27, 2025–Novemba 2, 2025

14 Kubali Msamaha wa Yehova

Habari za Ziada

Makala nyingine katika gazeti hili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki