UBONGO
(Ona pia Akili; Kiharusi; Kupooza [Ubongo])
(Kuna kichwa kidogo: Manukuu)
“bakuli la dhahabu” (Mhu 12:6): w99 11/15 17
chembe za glial: g99 5/8 6
chembe za neva: g99 5/8 3, 6, 8; ct 50-51, 182
idadi: g97 5/8 4
michoro: g97 5/8 16-17
viunganishi katika ubongo: ct 182; g97 5/8 4, 15
watu wanaendelea kupata chembe mpya za neva katika maisha yao yote: g00 9/8 29; g00 10/22 28; g99 7/22 9
fahamu: g 12/09 8; ct 63-72
kansa:
maelezo ya mzee Mkristo: w05 11/1 19
kumbukumbu zinavyohifadhiwa: g04 8/8 11; g99 5/8 7-8
maelezo: g99 5/8 3-9
manufaa ya kuchemsha ubongo: w10 5/15 22; g01 5/22 28; g99 5/8 10-11; g96 12/8 29
matokeo ya—
kufanya mambo mengi wakati uleule: g04 10/22 28
kula chakula chenye mafuta mengi: g01 11/8 29
kunywa kileo (pombe): g05 10/8 6-7
kupunguza joto la mwili baada ya mshtuko wa moyo: g02 11/8 28
kusema uwongo: g03 2/22 29
shinikizo la juu la damu: g96 8/22 28
michoro: g00 2/8 30; g99 5/8 4; ct 56; g97 5/8 16-17
sehemu inayomzuia mtu asifanye mambo yanayohatarisha maisha: g05 10/8 29
sehemu inayoshughulikia lugha: g99 5/8 9; ct 56-60; g98 2/22 28-29
Kichina cha Mandarin: g04 2/8 28
viziwi wanapotumia lugha ya ishara: g01 8/8 28
sehemu inayoshughulikia usawaziko: g96 3/22 25
sehemu zinazochanganua habari: g00 10/8 11
tabaka la nje la ubongo: g99 5/8 3-4; ct 54, 56
chembe za neva zinazoongoza misuli: ct 56-59
eneo la Broca: ct 59-60
eneo la Wernicke: ct 60
jinsi kiungo fulani kwenye upande wa kulia wa ubongo kinavyoweza kufanya mtu ahisi kana kwamba ametenganishwa na mwili na kuutazama akiwa juu: g03 6/8 29
sehemu ya mbele ya ubongo: ct 54-55
ubongo wa mwanadamu ni bora: ct 54-63, 65-66
ubora wa ubongo kwa kulinganishwa na kompyuta: la 16-17; w99 6/15 17; g99 5/8 6; ct 50-53, 64
uhusiano kati ya ubongo na uwezo wa kuona: g99 5/8 5-6
uhusiano kati ya ubongo na uwezo wa kusikia: g 3/10 3; g97 9/22 22
upasuaji wa ubongo:
Kisu cha Gamma (upasuaji unaofanywa kwa kutumia mnururisho): g98 2/22 20-21; w96 3/15 31
upasuaji wa uvimbe wa ubongo (meningioma) wafaulu bila kutia damu mishipani: w96 3/15 31
utata: cl 173
utendaji wa ubongo mtu anapolala usingizi: w96 10/1 3-4
uthibitisho wa kwamba kuna Muumba: g 2/10 24-25; rs 392; g04 8/8 11-12; la 16-17; g00 10/8 11; ct 50-66; g97 5/8 4, 15
uwezo wa ubongo: g 12/07 6-7; g04 8/8 11-12; ct 62; g98 6/22 9
kiwango cha ubongo kinachotumika maishani: ct 62
kuchanganua hisi mbalimbali: g 5/11 6-7
ubongo una uwezo mkubwa wa kubadilika: ct 52-54
uwezo wa ubongo unavyoongezeka:
kabla ya mtoto kuzaliwa: g 9/08 4
mazungumzo ya wazazi yaboresha akili: w98 4/15 32
sinapsi (pengo kati ya chembe za neva): g04 10/22 5-6
wazee: g99 7/22 9; ct 53
Manukuu
hakuna chochote katika ulimwengu kinachofanana nao hata kidogo: w99 4/15 6-7
kitu tata zaidi ambacho tumepata kugundua katika ulimwengu wetu: w99 4/15 6; g96 4/8 14
mabuku milioni ishirini: rs 331; w02 6/1 5; ct 62
ni jambo lenye kutokeza sana katika vitu vyote vilivyo hai ulimwenguni: ct 63
unaweza kujifunza na kukumbuka chochote kile: rs 331
uwezo wake hauna kikomo: g04 8/8 11