MAMBO YA WALAWI
HABARI ZENYE KUWA NDANI
- 
- Toleo la kuteketezwa (1-17) 
 
- 
- Toleo la nafaka (1-16) 
 
- 
- Toleo la zambi (1-35) 
 
- 
- Haruni na wana wake wanawekwa katika madaraka ya ukuhani (1-36) 
 
- 
- Haruni anatoa matoleo ya kuweka makuhani katika madaraka ya ukuhani (1-24) 
 
- 
- Wanyama safi na wanyama wenye hawako safi (1-47) 
 
- 
- Utakaso wa mwanamuke kisha kuzaa mutoto (1-8) 
 
- 
- Mutiririko wenye hauko safi wenye unatoka katika viungo vya uzazi (1-33) 
 
- 
- Siku ya Kufunika Zambi (1-34) 
 
- 
- Sheria mbalimbali kuhusu utakatifu (1-37) - Namna ya muzuri ya kuvuna (9, 10) 
- Kuheshimia viziwi na vipofu (14) 
- Maneno ya kuchongea (16) 
- Usiweke kinyongo (18) 
- Kufanya uchawi na kupashana habari na pepo wachafu kunakatazwa (26, 31) 
- Kujitia alama za machanjo kunakatazwa (28) 
- Kuheshimia watu wenye kuzeeka (32) 
- Namna wageni wanapaswa kutendewa (33, 34)