WIMBO 88
Unijulishe Njia Zako
Maandishi
1. Yehova tunakusanyika hapa,
Sababu ulitualika.
Maneno yako ni kama mwangaza,
Inatuangazia njia.
(REFREE)
Nifundishe njia zako zote,
Unieleweshe amri zako.
Nitembeze mu njia ya kweli
Na niipende sheria yako.
2. Hekima yako haina mipaka;
Hukumu zako ni za haki.
Neno yako ni ya ajabu sana;
Maneno yako ni ya kweli.
(REFREE)
Nifundishe njia zako zote,
Unieleweshe amri zako.
Nitembeze mu njia ya kweli
Na niipende sheria yako.