Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 8
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Samweli—Yaliyomo

      • Ushindi mbalimbali wa Daudi (1-14)

      • Wakuu katika utawala wa Daudi (15-18)

2 Samweli 8:1

Marejeo

  • +Yos 13:2, 3; 2Sa 21:15
  • +1Nya 18:1

2 Samweli 8:2

Marejeo

  • +Hes 24:17; Amu 3:29; 1Sa 14:47; Zb 60:8
  • +Kum 23:3-6
  • +2Fa 3:4; 1Nya 18:2

2 Samweli 8:3

Marejeo

  • +2Sa 10:6; 1Fa 11:23; Zb 60:utangulizi
  • +Mwa 15:18; Kut 23:31; 1Fa 4:21; 1Nya 18:3, 4

2 Samweli 8:4

Marejeo

  • +Kum 17:16; Zb 20:7; 33:17

2 Samweli 8:5

Marejeo

  • +Isa 7:8
  • +1Nya 18:5, 6

2 Samweli 8:6

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “wokovu.”

Marejeo

  • +Kum 7:24; 2Sa 8:14

2 Samweli 8:7

Marejeo

  • +1Nya 18:7, 8

2 Samweli 8:9

Marejeo

  • +2Fa 14:28
  • +1Nya 18:9-11

2 Samweli 8:11

Marejeo

  • +Yos 6:19; 1Fa 7:51; 1Nya 22:14; 26:27

2 Samweli 8:12

Marejeo

  • +2Sa 8:2
  • +2Sa 8:1
  • +1Sa 30:18
  • +2Sa 8:7

2 Samweli 8:13

Marejeo

  • +1Nya 18:12, 13; Zb 60:utangulizi

2 Samweli 8:14

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “wokovu.”

Marejeo

  • +Mwa 25:23, 26; 27:29, 37; Hes 24:18
  • +Zb 60:12

2 Samweli 8:15

Marejeo

  • +2Sa 5:3, 5
  • +1Nya 18:14-17
  • +1Fa 3:6

2 Samweli 8:16

Marejeo

  • +2Sa 20:23; 1Nya 11:6
  • +2Sa 20:24; 1Fa 4:3

2 Samweli 8:17

Marejeo

  • +2Sa 15:27; 1Nya 6:8; 24:3

2 Samweli 8:18

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “walikuwa makuhani.”

Marejeo

  • +2Sa 23:20; 1Fa 1:44; 2:35
  • +2Sa 15:18; 20:7

Jumla

2 Sam. 8:1Yos 13:2, 3; 2Sa 21:15
2 Sam. 8:11Nya 18:1
2 Sam. 8:2Hes 24:17; Amu 3:29; 1Sa 14:47; Zb 60:8
2 Sam. 8:2Kum 23:3-6
2 Sam. 8:22Fa 3:4; 1Nya 18:2
2 Sam. 8:32Sa 10:6; 1Fa 11:23; Zb 60:utangulizi
2 Sam. 8:3Mwa 15:18; Kut 23:31; 1Fa 4:21; 1Nya 18:3, 4
2 Sam. 8:4Kum 17:16; Zb 20:7; 33:17
2 Sam. 8:5Isa 7:8
2 Sam. 8:51Nya 18:5, 6
2 Sam. 8:6Kum 7:24; 2Sa 8:14
2 Sam. 8:71Nya 18:7, 8
2 Sam. 8:92Fa 14:28
2 Sam. 8:91Nya 18:9-11
2 Sam. 8:11Yos 6:19; 1Fa 7:51; 1Nya 22:14; 26:27
2 Sam. 8:122Sa 8:2
2 Sam. 8:122Sa 8:1
2 Sam. 8:121Sa 30:18
2 Sam. 8:122Sa 8:7
2 Sam. 8:131Nya 18:12, 13; Zb 60:utangulizi
2 Sam. 8:14Mwa 25:23, 26; 27:29, 37; Hes 24:18
2 Sam. 8:14Zb 60:12
2 Sam. 8:152Sa 5:3, 5
2 Sam. 8:151Nya 18:14-17
2 Sam. 8:151Fa 3:6
2 Sam. 8:162Sa 20:23; 1Nya 11:6
2 Sam. 8:162Sa 20:24; 1Fa 4:3
2 Sam. 8:172Sa 15:27; 1Nya 6:8; 24:3
2 Sam. 8:182Sa 23:20; 1Fa 1:44; 2:35
2 Sam. 8:182Sa 15:18; 20:7
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
2 Samweli 8:1-18

Kitabu cha Pili cha Samweli

8 Baadaye, Daudi aliwashinda Wafilisti+ na kuwatiisha,+ akachukua jiji la Metheg-ama kutoka mikononi mwa Wafilisti.

2 Akawashinda Wamoabu+ na kuwaamuru walale chini ardhini, naye akawapima kwa kamba. Alipima safu mbili za watu ambao wangeuawa, na safu moja nzima ya watu ambao hawangeuawa.+ Wamoabu wakawa watumishi wa Daudi na kumletea ushuru.+

3 Daudi alimshinda Hadadezeri mwana wa Rehobu mfalme wa Soba+ mfalme huyo alipokuwa akienda kurudisha mamlaka yake katika eneo la Mto Efrati.+ 4 Daudi akawateka wapanda farasi 1,700 na wanajeshi wake 20,000 wanaotembea kwa miguu. Kisha Daudi akawakata farasi wote mishipa ya miguu isipokuwa farasi 100 waliokokota magari.+

5 Wasiria wa Damasko+ walipokuja kumsaidia Mfalme Hadadezeri wa Soba, Daudi aliwaua Wasiria 22,000.+ 6 Halafu Daudi akaweka kambi za kijeshi kule Siria ya Damasko, na Wasiria wakawa watumishi wa Daudi na kumletea ushuru. Yehova alimpa Daudi ushindi* popote alipoenda.+ 7 Isitoshe, Daudi alichukua ngao za mviringo za dhahabu kutoka kwa watumishi wa Hadadezeri na kuzileta Yerusalemu.+ 8 Mfalme Daudi alichukua shaba nyingi sana kutoka Beta na Berothai, majiji ya Hadadezeri.

9 Basi Mfalme Toi wa Hamathi+ akasikia kwamba Daudi alikuwa amelishinda jeshi lote la Hadadezeri.+ 10 Kwa hiyo Toi akamtuma Yoramu mwana wake kwa Mfalme Daudi ili amjulie hali na kumpongeza kwa sababu alikuwa amepigana na Hadadezeri na kumshinda (kwa maana mara nyingi Hadadezeri alimshambulia Toi); na Yoramu alimletea Daudi vitu vya fedha, dhahabu, na shaba. 11 Mfalme Daudi akavitakasa vitu hivyo ili viwe vya Yehova, pamoja na fedha na dhahabu aliyotakasa kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda:+ 12 kutoka Siria na kutoka Moabu,+ kutoka kwa Waamoni, Wafilisti,+ Waamaleki,+ na kutoka katika nyara za Hadadezeri+ mwana wa Rehobu mfalme wa Soba. 13 Pia Daudi alijijengea jina aliporudi baada ya kuwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.+ 14 Aliweka kambi za kijeshi huko Edomu. Aliweka kambi za kijeshi katika nchi yote ya Edomu, na Waedomu wote wakawa watumishi wa Daudi.+ Yehova alimpa Daudi ushindi* popote alipoenda.+

15 Daudi akaendelea kutawala Israeli yote,+ naye aliwatawala watu wake wote+ kwa haki na uadilifu.+ 16 Yoabu+ mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa jeshi, na Yehoshafati+ mwana wa Ahiludi alifanya kazi ya kuweka kumbukumbu. 17 Sadoki+ mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani, na Seraya alikuwa mwandishi. 18 Benaya+ mwana wa Yehoyada aliwasimamia Wakerethi na Wapelethi.+ Na wana wa Daudi walikuwa wahudumu wakuu.*

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki