Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 20
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo

      • Jiji la Raba latekwa (1-3)

      • Majitu ya Wafilisti yauawa (4-8)

1 Mambo ya Nyakati 20:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Yaani, majira ya kuchipua.

Marejeo

  • +1Nya 11:6
  • +Kum 3:11
  • +2Sa 11:1
  • +2Sa 12:26

1 Mambo ya Nyakati 20:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Talanta moja ilikuwa na uzito wa kilogramu 34.2. Angalia Nyongeza B14.

Marejeo

  • +2Sa 8:11, 12; 12:30, 31

1 Mambo ya Nyakati 20:3

Marejeo

  • +1Fa 9:20, 21

1 Mambo ya Nyakati 20:4

Marejeo

  • +2Sa 21:18; 1Nya 11:26, 29
  • +Kum 3:13

1 Mambo ya Nyakati 20:5

Marejeo

  • +1Sa 17:4, 7; 21:9
  • +2Sa 21:19; 1Nya 11:23, 24

1 Mambo ya Nyakati 20:6

Marejeo

  • +Yos 11:22; 1Sa 7:14
  • +Hes 13:33; Kum 2:10; 3:11
  • +2Sa 21:16, 20-22

1 Mambo ya Nyakati 20:7

Marejeo

  • +1Sa 17:10; 2Fa 19:22
  • +1Nya 2:13

1 Mambo ya Nyakati 20:8

Marejeo

  • +Kum 2:11
  • +1Sa 17:4

Jumla

1 Nya. 20:11Nya 11:6
1 Nya. 20:1Kum 3:11
1 Nya. 20:12Sa 11:1
1 Nya. 20:12Sa 12:26
1 Nya. 20:22Sa 8:11, 12; 12:30, 31
1 Nya. 20:31Fa 9:20, 21
1 Nya. 20:42Sa 21:18; 1Nya 11:26, 29
1 Nya. 20:4Kum 3:13
1 Nya. 20:51Sa 17:4, 7; 21:9
1 Nya. 20:52Sa 21:19; 1Nya 11:23, 24
1 Nya. 20:6Yos 11:22; 1Sa 7:14
1 Nya. 20:6Hes 13:33; Kum 2:10; 3:11
1 Nya. 20:62Sa 21:16, 20-22
1 Nya. 20:71Sa 17:10; 2Fa 19:22
1 Nya. 20:71Nya 2:13
1 Nya. 20:8Kum 2:11
1 Nya. 20:81Sa 17:4
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
1 Mambo ya Nyakati 20:1-8

Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya Nyakati

20 Mwanzoni mwa mwaka,* wakati ambapo wafalme huenda vitani, Yoabu+ aliwaongoza wanajeshi vitani, wakaiharibu nchi ya Waamoni; Yoabu akaenda na kuzingira Raba,+ lakini Daudi akabaki Yerusalemu.+ Yoabu alishambulia jiji la Raba na kulibomoa kabisa.+ 2 Kisha Daudi akachukua taji lililokuwa kwenye kichwa cha Malkamu, akapata kwamba uzito wa taji hilo ulikuwa talanta moja* ya dhahabu, nalo lilikuwa na mawe yenye thamani; Daudi akavishwa taji hilo kichwani. Alichukua pia nyara nyingi sana kutoka katika jiji hilo.+ 3 Akawatoa nje watu waliokuwa ndani yake, akawapa kazi+ ya kukata mawe kwa misumeno na kufanya kazi kwa vifaa vya chuma vyenye ncha kali na kwa mashoka. Hivyo ndivyo Daudi alivyofanya katika majiji yote ya Waamoni. Hatimaye Daudi na wanajeshi wote wakarudi Yerusalemu.

4 Baada ya hayo, wakapigana tena na Wafilisti kule Gezeri. Wakati huo Sibekai+ Mhusha alimuua Sipai, aliyekuwa mzao wa Warefaimu,+ nao wakatiishwa.

5 Wakapigana tena na Wafilisti, na Elhanani mwana wa Yairi akamuua Lahmi ndugu ya Goliathi+ Mgathi, aliyekuwa na mkuki wenye mpini kama mti wa wafumaji wa nguo.+

6 Vita vikatokea tena huko Gathi,+ ambako kulikuwa na mwanamume mkubwa isivyo kawaida,+ mwenye vidole 6 katika kila mkono na vidole 6 katika kila mguu, jumla ya vidole 24; naye pia alikuwa mzao wa Warefaimu.+ 7 Aliendelea kuwadhihaki+ Waisraeli. Basi Yonathani mwana wa Shimea,+ ndugu ya Daudi, akamuua.

8 Watu hao walikuwa wazao wa Warefaimu+ huko Gathi,+ na Daudi na watumishi wake ndio waliowaua.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki