Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 10
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Esta—Yaliyomo

      • Ukuu wa Mordekai (1-3)

Esta 10:2

Marejeo

  • +Est 2:5, 6
  • +Est 8:15; Da 2:48
  • +Ezr 4:15; Est 6:1
  • +Est 1:3; Da 6:15

Esta 10:3

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Alithaminiwa sana.”

  • *

    Tnn., “umati wa ndugu zake.”

  • *

    Tnn., “kuzungumza kuhusu amani kwa niaba ya.”

Jumla

Esta 10:2Est 2:5, 6
Esta 10:2Est 8:15; Da 2:48
Esta 10:2Ezr 4:15; Est 6:1
Esta 10:2Est 1:3; Da 6:15
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Esta 10:1-3

Esta

10 Mfalme Ahasuero akaamuru watu wafanye kazi ya kulazimishwa katika nchi na katika visiwa vya bahari.

2 Na matendo yake yote makuu na yenye nguvu, na pia habari kamili kuhusu ukuu wa Mordekai+ ambao mfalme alimpa alipomkweza,+ je, hayajaandikwa katika kitabu cha historia ya nyakati+ za wafalme wa Umedi na Uajemi?+ 3 Kwa maana Mordekai Myahudi ndiye aliyekuwa wa pili kwa cheo kutoka kwa Mfalme Ahasuero. Alikuwa mkuu* miongoni mwa Wayahudi na aliheshimiwa na ndugu zake kwa ujumla,* naye aliwasaidia watu wake na kutetea masilahi ya* wazao wao wote.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki