Zaburi
Kwa kiongozi; uimbwe kwa vinanda. Muziki. Wimbo.
67 Mungu atatuonyesha kibali na kutubariki;
Atatuangazia nuru ya uso wake+ (Sela)
3 Mataifa na yakusifu wewe, Ee Mungu;
Mataifa yote na yakusifu.
Utayaongoza mataifa ya dunia. (Sela)
5 Mataifa na yakusifu, Ee Mungu;
Mataifa yote na yakusifu wewe.