Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:36, 37
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 36 Kila siku utamtoa ng’ombe dume wa dhabihu ya dhambi ili kufunika dhambi zao, nawe utaitakasa madhabahu kwa kutoa dhabihu ya kufunika dhambi ya madhabahu hiyo, nawe utaitia mafuta ili kuitakasa.+ 37 Utatumia siku saba kufunika dhambi ya madhabahu, nawe lazima uitakase ili iwe madhabahu takatifu kabisa.+ Mtu yeyote anayeigusa madhabahu hiyo anapaswa kuwa mtakatifu.

  • Mambo ya Walawi 8:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Baada ya hayo akanyunyiza kiasi fulani cha mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba na kuitia mafuta madhabahu, vyombo vyake vyote, na pia beseni na kinara chake, ili kuvitakasa.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki