-
Mwanzo 41:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Lakini asubuhi, roho yake ikafadhaika. Basi akaagiza makuhani wote wachawi wa Misri na watu wake wote wenye hekima waitwe. Farao akawasimulia ndoto zake, lakini hakuna yeyote aliyeweza kumwambia Farao maana yake.*
-
-
2 Timotheo 3:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Basi kama vile Yane na Yambre walivyompinga Musa, vivyo hivyo hawa pia wanaendelea kuipinga kweli. Watu hao wamepotoshwa akili kabisa, wakiwa wamekataliwa kuhusiana na imani.
-