Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:1-3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 “Hivi ndivyo utakavyowatakasa ili wanitumikie wakiwa makuhani: Chukua ng’ombe dume mchanga, kondoo dume wawili wasio na kasoro,+ 2 mikate isiyo na chachu, mikate ya mviringo isiyo na chachu na iliyokandwa kwa mafuta, na mikate myembamba isiyo na chachu na ambayo imepakwa mafuta.+ Utaioka kwa unga laini wa ngano 3 na kuiweka ndani ya kikapu, nawe utaileta mbele zangu ikiwa ndani ya kikapu,+ pamoja na yule ng’ombe dume na wale kondoo dume wawili.

  • Mambo ya Walawi 6:14, 15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 “‘Hii ndiyo sheria kuhusu toleo la nafaka:+ Ninyi wana wa Haruni mtamtolea Yehova toleo hilo mbele ya madhabahu. 15 Mmoja wenu atachukua mkono mmoja wa unga laini wa toleo la nafaka na kiasi fulani cha mafuta yake na ubani wote ulio katika toleo la nafaka, naye atauteketeza ili ufuke moshi kwenye madhabahu kama harufu ya kupendeza* ya dhabihu ya kumbukumbu* kwa Yehova.+

  • Hesabu 7:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Alileta sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130* na bakuli moja la fedha lenye uzito wa shekeli 70 kulingana na shekeli ya kawaida ya mahali patakatifu,*+ vyombo vyote viwili vilikuwa vimejaa unga laini uliochanganywa na mafuta kwa ajili ya toleo la nafaka;+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki