-
Kutoka 39:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 Pia walifuma kanzu za kitani bora kwa ajili ya Haruni na wanawe,+
-
-
Kutoka 39:29Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
29 na ukumbuu uliofumwa kwa kitani bora kilichosokotwa, nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, na kitambaa cha rangi nyekundu, kama Yehova alivyomwamuru Musa.
-