-
Kutoka 28:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Mshipi uliofumwa+ unaoshikilia kwa nguvu efodi unapaswa kutengenezwa kwa vitu hivyohivyo, yaani, dhahabu, nyuzi za bluu, sufu ya rangi ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora kilichosokotwa.
-
-
Kutoka 39:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Kisha wakatengeneza pete nyingine mbili za dhahabu upande wa mbele wa efodi, chini ya vipande viwili vya mabegani vya efodi, karibu na mahali inapoungana, juu ya mshipi uliofumwa wa efodi.
-