-
Hesabu 12:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Miriamu na Haruni wakaanza kusema vibaya kumhusu Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa, kwa maana Musa alikuwa ameoa mwanamke Mkushi.+
-
-
Hesabu 12:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Mara moja Haruni akamwambia Musa: “Nakusihi, bwana wangu! Tafadhali, usituadhibu kwa sababu ya dhambi hii! Tumetenda kwa upumbavu.
-