-
Kumbukumbu la Torati 5:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 “‘Wala usifanye uzinzi.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 22:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 “Mwanamume akipatikana akifanya ngono na mke wa mwanamume mwingine, ni lazima wote wawili wauawe pamoja, mwanamume huyo pamoja na mwanamke aliyefanya naye ngono.+ Kwa hiyo ni lazima mwondoe uovu katika Israeli.
-