-
Hesabu 26:63, 64Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
63 Hao ndio walioandikishwa na Musa na kuhani Eleazari walipowaandikisha Waisraeli katika jangwa tambarare la Moabu karibu na Yordani huko Yeriko. 64 Lakini hakuna hata mmoja wao aliyeandikishwa na Musa na kuhani Haruni wakati walipowahesabu Waisraeli katika nyika ya Sinai.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 1:35Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
35 ‘Hakuna mtu hata mmoja wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kwamba nitawapa baba zenu,+
-
-
Zaburi 95:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kwa hiyo niliapa kwa hasira yangu:
“Hawataingia katika pumziko langu.”+
-
-
Zaburi 106:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Kwa hiyo akainua mkono wake na kuapa kuwahusu
Kwamba angewaangusha nyikani;+
-
Waebrania 3:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Naye aliapa kwa akina nani kwamba hawataingia katika pumziko lake? Je, si wale waliotenda kwa kutotii?
-
-
-