Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 32:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  5 Wao ndio wametenda kwa njia ya upotovu.+

      Wao si watoto wake, kasoro ni yao wenyewe.+

      Wao ni kizazi kilicho kombo na kilichopotoka!+

  • Isaya 65:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Mchana kutwa nimewanyooshea mikono yangu watu wakaidi,+

      Wale wanaotembea katika njia isiyo nzuri,+

      Wanaofuata mawazo yao wenyewe;+

  • Mathayo 17:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Yesu akajibu: “Enyi kizazi kisicho na imani na kilichopotoka,+ nitaendelea kuwa pamoja nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni hapa.”

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki