-
Mambo ya Walawi 18:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 “‘Msijichafue kwa kufanya jambo lolote kati ya mambo hayo, kwa maana mataifa ninayoyafukuza kutoka mbele yenu yamejichafua kwa mambo hayo yote.+
-
-
Mambo ya Walawi 18:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Msifanye mambo hayo ili nchi isiwatapike kwa sababu ya kuichafua kama itakavyoyatapika mataifa yaliyowatangulia.
-
-
Mambo ya Walawi 26:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 “‘Na ikiwa hamtanisikiliza, nanyi mkinipinga kwa ushupavu licha ya mambo hayo,
-