Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 1:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Naye akaweka nadhiri hii: “Ee Yehova wa majeshi, ikiwa utayaona mateso yangu mimi mtumishi wako na kunikumbuka na usiponisahau mimi mtumishi wako, nawe unipe mtoto wa kiume,+ nitamtoa awe wa Yehova sikuzote za maisha yake, na hakuna wembe utakaogusa kichwa chake.”+

  • 1 Samweli 2:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Basi Elkana akaenda nyumbani kwake Rama, lakini yule mvulana akawa mhudumu wa* Yehova+ chini ya uangalizi wa kuhani Eli.

  • 2 Mambo ya Nyakati 31:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Hilo halikutia ndani mchango waliogawiwa wanaume wenye umri wa miaka mitatu na zaidi walioandikishwa kwenye orodha ya koo, ambao walikuja kila siku kutumikia katika nyumba ya Yehova na kutimiza majukumu ya vikundi vyao.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki