Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 16:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Mwishowe Yehova akamuuliza Samweli: “Kwa kuwa nimemkataa Sauli asitawale akiwa mfalme wa Israeli,+ utaendelea kumwombolezea mpaka lini?+ Jaza pembe yako mafuta,+ uende. Nitakutuma kwa Yese+ Mbethlehemu, kwa sababu nimejichagulia mfalme kutoka miongoni mwa wanawe.”+

  • 1 Wafalme 1:39
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 39 Kisha Kuhani Sadoki akachukua pembe ya mafuta+ kutoka hemani+ na kumtia mafuta Sulemani,+ nao wakaanza kupiga pembe, na watu wote wakaanza kusema hivi kwa sauti kubwa: “Mfalme Sulemani na aishi muda mrefu!”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki