Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 16:14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Sasa roho ya Yehova ilikuwa imemwacha Sauli,+ na roho mbaya kutoka kwa Yehova ilikuwa ikimtesa.+

  • 1 Samweli 18:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Siku iliyofuata, roho mbaya kutoka kwa Mungu ikamvamia Sauli,+ naye akaanza kutenda kwa njia ya ajabu* nyumbani, huku Daudi akipiga muziki kwa kinubi+ kama alivyofanya nyakati nyingine. Sauli alikuwa na mkuki mkononi,+

  • 1 Samweli 19:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Na roho mbaya kutoka kwa Yehova ikamjia Sauli+ alipokuwa ameketi nyumbani mwake akiwa na mkuki mkononi, huku Daudi akipiga muziki kwa kinubi.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki