Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 31:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Nitakapowaleta katika nchi ambayo niliwaapia mababu zao+—nchi inayotiririka maziwa na asali+—nao wale na kushiba na kufanikiwa,*+ wataigeukia miungu mingine na kuiabudu na kunidharau na kulivunja agano langu.+

  • Zaburi 78:37
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 37 Moyo wao haukuwa imara kumwelekea;+

      Nao hawakuwa waaminifu kwa agano lake.+

  • Isaya 1:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  4 Ole kwa taifa lenye dhambi,+

      Watu waliolemewa na dhambi,

      Uzao wa watu waovu, watoto waliopotoka!

      Wamemwacha Yehova;+

      Wamemvunjia heshima Mtakatifu wa Israeli;

      Wamemgeuzia migongo yao.

  • Yeremia 22:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Nao watajibu: “Kwa sababu waliliacha agano la Yehova Mungu wao na kuiinamia miungu mingine na kuitumikia.”’+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki