-
2 Wafalme 2:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kisha wana wa manabii waliokuwa Yeriko wakaenda kwa Elisha na kumuuliza: “Je, unajua kwamba leo Yehova anamchukua bwana wako asiwe kiongozi juu yako?” Ndipo akajibu: “Tayari najua. Nyamazeni.”
-
-
2 Wafalme 9:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Kisha nabii Elisha akamwita mmoja wa wana wa manabii na kumwambia: “Jifunge mavazi yako kiunoni, na uchukue haraka chupa hii ya mafuta uende Ramothi-gileadi.+
-