Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 2:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Walipokuwa wakitembea, huku wakizungumza, kwa ghafla gari la moto na farasi wa moto+ wakawatenganisha, na Eliya akapanda kuelekea mbinguni* katika dhoruba ya upepo.+

  • Zaburi 68:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Magari ya Mungu ya vita ni makumi ya maelfu, maelfu kwa maelfu.+

      Yehova ametoka Sinai na kuingia mahali patakatifu.+

  • Zekaria 6:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Kisha nikatazama juu tena na kuona magari manne ya vita yakitoka katikati ya milima miwili, na milima hiyo ilikuwa ya shaba.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki