Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 35:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Basi kila mtu ambaye moyo wake ulimsukuma+ na kila mtu aliyechochewa na roho yake akaja na kumletea Yehova mchango ili utumiwe katika kazi ya hema la mkutano, yaani, katika utumishi wake wote, na kwa ajili ya mavazi matakatifu.

  • 1 Mambo ya Nyakati 29:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Watu walishangilia kwa sababu walitoa matoleo hayo ya hiari, kwa maana walimtolea Yehova matoleo hayo ya hiari kwa moyo kamili,+ na Mfalme Daudi pia alishangilia sana.

  • Ezra 7:14-16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Kwa maana umetumwa na mfalme na washauri wake saba ili kuchunguza kama watu walio Yuda na Yerusalemu wanafuata Sheria ya Mungu wako uliyo nayo,* 15 na kuchukua fedha na dhahabu ambayo mfalme na washauri wake wamemtolea kwa hiari Mungu wa Israeli, ambaye makao yake yako Yerusalemu, 16 pamoja na fedha na dhahabu yote ambayo utapokea* katika mkoa wote* wa Babiloni, na pia zawadi ambazo watu na makuhani hutoa kwa hiari kwa ajili ya nyumba ya Mungu wao iliyo Yerusalemu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki