-
Ezra 1:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Vyombo vyote vya dhahabu na vya fedha vilikuwa 5,400. Sheshbazari alivibeba vyote wakati yeye na watu waliohamishwa+ walipoondoka Babiloni kwenda Yerusalemu.
-