-
Yeremia 2:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 ‘Hata ukioga kwa magadi na kutumia sabuni nyingi,
Bado hatia yako itakuwa doa mbele zangu,’+ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.
-
-
Malaki 3:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 “Lakini ni nani atakayestahimili siku atakayokuja, na ni nani atakayeweza kusimama atakapotokea? Kwa maana atakuwa kama moto wa msafishaji wa madini na kama sabuni+ ya wafuaji wa nguo.
-