-
2 Samweli 18:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Ndipo Yoabu akasema: “Sitaendelea kupoteza muda pamoja nawe!” Basi akachukua mikuki mitatu midogo* na kumchoma nayo Absalomu kwenye moyo alipokuwa angali hai akining’inia kwenye mti mkubwa.
-
-
Zaburi 109:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Yehova na akumbuke daima waliyotenda;
Na afutilie mbali kumbukumbu lao kutoka duniani.+
-
-
Mathayo 27:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Ndipo Yuda, ambaye alimsaliti, alipoona Yesu amehukumiwa, akajuta na kuwarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande 30 vya fedha,+
-
-
Mathayo 27:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Basi akavitupa vile vipande vya fedha hekaluni. Kisha akaenda zake akajinyonga.+
-