- 
	                        
            
            Isaya 50:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
- 
                            - 
                                        6 Niliwapa mgongo wangu wale waliokuwa wakinipiga Na mashavu yangu wale waliozing’oa ndevu zangu. Sikuuficha uso wangu kutoka kwa mambo yenye kufedhehesha na kutoka kwa mate.+ 
 
- 
                                        
- 
	                        
            
            Mathayo 27:29Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
- 
                            - 
                                        29 kisha wakasokota taji la miiba na kumvisha kichwani na kutia utete kwenye mkono wake wa kuume. Wakampigia magoti, wakamdhihaki wakisema: “Salamu,* ewe Mfalme wa Wayahudi!” 
 
-