Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 50
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Isaya—Yaliyomo

      • Dhambi za Waisraeli zasababisha matatizo (1-3)

      • Mtumishi mtiifu wa Yehova (4-11)

        • Ulimi na sikio la waliofundishwa (4)

Isaya 50:1

Marejeo

  • +Kum 24:1
  • +2Fa 17:16, 17
  • +Isa 59:2; Yer 3:1

Isaya 50:2

Marejeo

  • +Yer 35:15
  • +Isa 40:28; 59:1
  • +Kut 14:21, 29; Zb 106:9; Isa 51:10
  • +Zb 107:33; 114:1, 3; Isa 42:15; Nah 1:4

Isaya 50:3

Marejeo

  • +Kut 10:21

Isaya 50:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “ulimi uliozoezwa vizuri.”

  • *

    Au labda, “kumwimarisha.”

  • *

    Tnn., “kwa neno.”

Marejeo

  • +Kut 4:11; Yer 1:9
  • +Yoh 7:15, 46
  • +Mt 13:54

Isaya 50:5

Marejeo

  • +Zb 40:6-8
  • +Mt 26:39; Flp 2:8

Isaya 50:6

Marejeo

  • +Mt 26:67; Mk 14:65; Lu 22:63; Yoh 18:22

Isaya 50:7

Marejeo

  • +Isa 49:8
  • +Eze 3:8, 9

Isaya 50:8

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kushindana nami?”

  • *

    Au “tutazamane.”

Marejeo

  • +Ro 8:33

Isaya 50:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Aina fulani ya mdudu mharibifu.

Isaya 50:10

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kumtegemea.”

Marejeo

  • +Isa 42:1; 53:11

Jumla

Isa. 50:1Kum 24:1
Isa. 50:12Fa 17:16, 17
Isa. 50:1Isa 59:2; Yer 3:1
Isa. 50:2Yer 35:15
Isa. 50:2Isa 40:28; 59:1
Isa. 50:2Kut 14:21, 29; Zb 106:9; Isa 51:10
Isa. 50:2Zb 107:33; 114:1, 3; Isa 42:15; Nah 1:4
Isa. 50:3Kut 10:21
Isa. 50:4Kut 4:11; Yer 1:9
Isa. 50:4Yoh 7:15, 46
Isa. 50:4Mt 13:54
Isa. 50:5Zb 40:6-8
Isa. 50:5Mt 26:39; Flp 2:8
Isa. 50:6Mt 26:67; Mk 14:65; Lu 22:63; Yoh 18:22
Isa. 50:7Isa 49:8
Isa. 50:7Eze 3:8, 9
Isa. 50:8Ro 8:33
Isa. 50:10Isa 42:1; 53:11
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Isaya 50:1-11

Isaya

50 Yehova anasema hivi:

“Kiko wapi cheti cha talaka+ cha mama yenu, ambaye nilimfukuza?

Au niliwauza kwa yupi kati ya wakopeshaji wangu?

Tazameni! Mliuzwa kwa sababu ya uovu wenu,+

Na mama yenu alifukuzwa kwa sababu ya makosa yenu wenyewe.+

 2 Basi, kwa nini nilipokuja, hapakuwa na mtu yeyote mahali hapa?

Kwa nini hakuna aliyejibu nilipoita?+

Je, mkono wangu ni mfupi usiweze kukomboa,

Au je, sina nguvu za kuokoa?+

Tazameni! Mimi huikausha bahari kwa kemeo langu;+

Ninaifanya mito kuwa jangwa.+

Samaki waliomo huoza kwa kukosa maji,

Nao hufa kwa sababu ya kiu.

 3 Mimi hulivisha mbingu giza,+

Nami huzifunika kwa nguo za magunia.”

 4 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amenipa ulimi wa waliofundishwa,*+

Ili nijue jinsi ya kumjibu* aliyechoka kwa neno linalofaa.*+

Yeye huniamsha asubuhi baada ya asubuhi;

Huliamsha sikio langu ili lisikilize kama wale waliofundishwa.+

 5 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amelifungua sikio langu,

Nami sikuwa mwasi.+

Sikugeuka upande ulio kinyume.+

 6 Niliwapa mgongo wangu wale waliokuwa wakinipiga

Na mashavu yangu wale waliozing’oa ndevu zangu.

Sikuuficha uso wangu kutoka kwa mambo yenye kufedhehesha na kutoka kwa mate.+

 7 Lakini Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova atanisaidia.+

Ndiyo sababu sitafedheheka.

Ndiyo sababu nimeufanya uso wangu uwe kama jiwe gumu,+

Nami ninajua kwamba sitaaibika.

 8 Yule anayenitangaza kuwa mwadilifu yu karibu.

Ni nani anayeweza kunishtaki?*+

Na tusimame pamoja.*

Ni nani aliye na kesi dhidi yangu?

Na anikaribie.

 9 Tazameni! Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova atanisaidia.

Ni nani atakayenitangaza kuwa na hatia?

Tazameni! Wote watachakaa kama vazi.

Nondo* atawala.

10 Ni nani kati yenu anayemwogopa Yehova

Na kusikiliza sauti ya mtumishi wake?+

Ambaye ametembea katika giza zito, bila mwangaza wowote?

Na alitumaini jina la Yehova na kujitegemeza juu ya* Mungu wake.

11 “Tazameni! Ninyi nyote mnaowasha moto,

Mnaorusha cheche,

Tembeeni katika nuru ya moto wenu,

Kati ya cheche ambazo mmewasha.

Hili ndilo mtakalopata kutoka mkononi mwangu:

Mtalala kwa maumivu makali.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki