-
Kumbukumbu la Torati 1:43Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
43 Basi nikaongea nanyi, lakini hamkusikiliza. Badala yake, mliasi agizo la Yehova na kujaribu kwa kimbelembele kupanda mlimani.
-
-
Matendo 7:51Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
51 “Ninyi watu wagumu na wasiotahiriwa katika mioyo na masikio, sikuzote mnaipinga roho takatifu; kama mababu zenu walivyofanya, ndivyo mnavyofanya pia.+
-