-
Zaburi 90:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Kwa maana tumemezwa na hasira yako+
Na kutishwa na ghadhabu yako.
-
-
Zaburi 102:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Kwa sababu ya hasira yako na ghadhabu yako,
Kwa maana uliniinua juu ili unitupe tu pembeni.
-