Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 16:21, 22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Haruni ataweka mikono yake miwili juu ya kichwa cha mbuzi huyo aliye hai na kuungama juu yake makosa yote ya Waisraeli na maovu yao yote na dhambi zao zote, ataziweka juu ya kichwa cha mbuzi+ huyo na kumwagiza mtu aliyechaguliwa* ampeleke mbuzi huyo nyikani. 22 Mbuzi huyo atazibeba dhambi zao zote+ na kuzipeleka jangwani,+ mtu huyo atampeleka mbuzi huyo na kumwacha aende zake nyikani.+

  • Isaya 43:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Mimi, mimi ndiye ninayeyafuta kabisa makosa*+ yako kwa ajili yangu,+

      Nami sitazikumbuka dhambi zako.+

  • Yeremia 31:34
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki