-
Zaburi 141:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Usiache moyo wangu uelekee kwenye jambo lolote ovu,+
Nisishirikiane na watu waovu kutenda mambo mapotovu;
Nisile kamwe vyakula vyao vitamu.
-