Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 97:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Nuru imemwangazia mwadilifu+

      Na shangwe walio wanyoofu moyoni.

  • Isaya 42:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Nitawaongoza vipofu kwenye njia wasiyoijua+

      Na kuwafanya watembee kwenye vijia wasivyovijua.+

      Nitabadili giza lililo mbele yao liwe nuru+

      Na kubadili eneo lenye mawemawe kuwa nchi tambarare.+

      Hivyo ndivyo nitakavyowatendea, nami sitawaacha.”

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki