Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 9:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Usimkaripie mtu mwenye dhihaka, kwa maana atakuchukia.+

      Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda.+

  • Methali 19:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Mpige mwenye dhihaka,+ ili mjinga awe mwerevu,+

      Mkaripie mwenye uelewaji ili aongeze ujuzi wake.+

  • Methali 25:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Kama kipuli cha dhahabu na pambo la dhahabu bora

      Ndivyo alivyo mkaripiaji mwenye hekima kwa sikio linalosikia.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki