-
Zaburi 33:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Mwimbieni wimbo mpya;+
Pigeni nyuzi kwa ustadi, na kupaza sauti kwa shangwe.
-
-
Zaburi 40:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Kisha akaweka wimbo mpya kinywani mwangu,+
Asifiwe Mungu wetu.
Wengi watatazama kwa hofu
Na kumtumaini Yehova.
-