-
Hesabu 6:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Yehova na ainue uso wake kuwaelekea na kuwapa amani.”’+
-
-
Zaburi 80:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Ee Mungu wa majeshi, turudishe;
Uso wako na utuangazie, ili tuokolewe.+
-
-
Methali 16:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Katika nuru ya uso wa mfalme kuna uzima;
Kibali chake ni kama wingu la mvua wakati wa masika.+
-