-
Zaburi 59:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Kwa sababu ya dhambi ya kinywa chao, neno la midomo yao,
Kiburi chao na kiwanase,+
Kwa sababu ya matusi na udanganyifu wanaosema.
-
-
Yeremia 18:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Kilio na kisikiwe kutoka katika nyumba zao
Utakapowaletea wavamizi kwa ghafla.
Kwa maana wamechimba shimo ili kunikamata
Nao wametega mitego ya kuinasa miguu yangu.+
-