Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 25:39
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 39 Daudi aliposikia kwamba Nabali amekufa, akasema: “Asifiwe Yehova, ambaye amenitetea+ baada ya kuaibishwa na Nabali,+ na amenizuia mimi mtumishi wake nisitende jambo lolote ovu,+ na Yehova amemwadhibu Nabali kwa sababu ya uovu wake!”* Kisha Daudi akawatuma wajumbe kwa Abigaili akiomba awe mke wake.

  • Zaburi 52:4, 5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  4 Unapenda kila neno linalodhuru,

      Ewe ulimi mdanganyifu!

       5 Ndiyo sababu Mungu atakubomoa milele na milele;+

      Atakunyakua na kukurarua kutoka katika hema lako;+

      Atakung’oa kutoka katika nchi ya walio hai.+ (Sela)

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki