- 
	                        
            
            Esta 7:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
- 
                            - 
                                        10 Basi wakamtundika Hamani kwenye mti aliokuwa ameutengeneza ili kumtundika Mordekai juu yake, na hasira ya mfalme ikatulia. 
 
- 
                                        
- 
	                        
            
            Zaburi 7:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
- 
                            - 
                                        15 Huchimba shimo na kuzidisha kina chake, Lakini huanguka katika shimo hilohilo alilolichimba.+ 
 
-