-
Esta 7:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Basi wakamtundika Hamani kwenye mti aliokuwa ameutengeneza ili kumtundika Mordekai juu yake, na hasira ya mfalme ikatulia.
-
-
Zaburi 35:7, 8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Kwa maana bila sababu wameficha wavu wa kunitega;
Na bila sababu wamenichimbia shimo.
-
-
Zaburi 57:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Wamechimba shimo mbele yangu,
Lakini wao wenyewe wameanguka ndani yake.+ (Sela)
-
-
Methali 26:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 Anayechimba shimo ataanguka ndani yake,
Na yeyote anayebingirisha jiwe—litamrudia.+
-