Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 14:3, 4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 3 Kuhani atatoka nje ya kambi na kumchunguza. Ikiwa mtu mwenye ukoma amepona, 4 kuhani atamwamuru alete ndege safi wawili walio hai, tawi la mwerezi, kitambaa cha rangi nyekundu, na tawi la hisopo ili atakaswe.+

  • Waebrania 9:13, 14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Kwa maana ikiwa damu ya mbuzi na ya ng’ombe dume+ na majivu ya ndama jike yaliyonyunyizwa juu ya wale ambao wametiwa unajisi hutakasa ili kuusafisha mwili,+ 14 je, damu ya Kristo,+ ambaye kupitia roho inayodumu milele alijitoa mwenyewe kwa Mungu bila dosari, haitazisafisha hata zaidi dhamiri zetu kutoka katika matendo yaliyokufa+ ili tumtolee utumishi mtakatifu Mungu aliye hai?+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki