Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 6:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Basi Hamani akachukua mavazi hayo na farasi, akamvisha Mordekai+ na kumtembeza katika uwanja wa jiji akiwa juu ya farasi na kutangaza kwa sauti mbele yake: “Hivi ndivyo anavyofanyiwa mtu ambaye mfalme angependa kumheshimu!” 12 Baadaye Mordekai akarudi kwenye lango la mfalme, lakini Hamani akaenda haraka nyumbani kwake, akiomboleza akiwa amefunika kichwa chake.

  • Methali 12:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Mtu husifiwa kwa sababu ya busara ya kinywa chake,+

      Lakini mtu aliye na moyo uliopotoka atatendewa kwa dharau.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki