Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 17:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Ni afadhali kipande kikavu cha mkate mahali penye amani*+

      Kuliko nyumba iliyojaa karamu* pamoja na ugomvi.+

  • Methali 21:19
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 19 Ni afadhali kuishi nyikani

      Kuliko kuishi na mke mgomvi* anayekasirika haraka.+

  • Methali 25:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 24 Ni afadhali kuishi pembeni juu ya paa

      Kuliko kuishi katika nyumba moja na mke mgomvi.*+

  • Methali 27:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Mke mgomvi* ni kama paa linalovuja maji mfululizo siku ya mvua.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki