-
Kumbukumbu la Torati 6:10, 11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 “Yehova Mungu wenu atakapowaleta katika nchi aliyowaapia mababu zenu Abrahamu, Isaka, na Yakobo kwamba atawapa ninyi+—majiji makubwa na yenye kupendeza ambayo hamkujenga,+ 11 nyumba zilizojaa vitu vizuri vya aina mbalimbali ambavyo hamkufanya kazi ili kuvipata, visima ambavyo hamkuchimba, na mashamba ya mizabibu na mizeituni ambayo hamkupanda—nanyi mtakapokuwa mmekula na kushiba,+
-
-
Methali 13:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Mtu mwema huwaachia urithi wajukuu wake,
Lakini mali ya mtenda dhambi itawekwa akiba kwa ajili ya mwadilifu.+
-