-
Isaya 52:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Yakung’ute mavumbi, inuka na uketi, ewe Yerusalemu.
Fungua pingu zilizo shingoni mwako, ewe binti ya Sayuni uliye mateka.+
-
-
Zekaria 9:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Lakini wewe, Ee mwanamke, kwa damu ya agano lako,
Nitawatoa wafungwa wako katika shimo lisilo na maji.+
-