Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 51:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Amka! Amka! Simama, Ee Yerusalemu,+

      Wewe ambaye umekunywa kutoka mkononi mwa Yehova kikombe chake cha ghadhabu.

      Umekunywa bilauri;

      Umemaliza kabisa kikombe kinachofanya watu wapepesuke.+

  • Isaya 52:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 52 Amka! Amka! Jivike nguvu,+ ewe Sayuni!+

      Vaa mavazi yako maridadi,+ ewe Yerusalemu, jiji takatifu!

      Kwa maana mtu ambaye hajatahiriwa na mtu asiye safi hawataingia ndani yako tena.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki