Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 49:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Wafalme watakuwa watunzaji wako,+

      Na mabinti wao wa kifalme watakuwa walezi wako.

      Watakuinamia kifudifudi+

      Na kuyaramba mavumbi ya miguu yako,+

      Nawe utalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova;

      Wale wanaonitumaini hawataaibika.”+

  • Isaya 60:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Malango yako yatakuwa wazi daima;+

      Hayatafungwa mchana wala usiku,

      Ili kukuletea mali za mataifa,

      Na wafalme wao wataongoza.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki